Mtihani Wa Umri Wako Wa Akili
Jaribio hili ni la awali kutoka Japan, amapo inaitwa《精神年齢チェック》. Tafadhali jibu maswali yote kwa uaminifu. Hakuna atakaye jua majibu yako.
Matokeo ya jaribio hili haina uhusiano wowote na quotienti ya akili yako.
Inajaza...
- Sasa unaeza sambaza matokeo yako kwa kutumia picha yenye utadhi katika Facebook, Twitter - Machi 12, 2016
- Tumeweka mwaka wako wa kuzaliwa, inayokadiriwa, na kuhifadhi bandwidth yako kwa kufinya maudhui!! - Februari 8, 2016
Nina kanuni zangu
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sitaki kufikiria mambo magumu
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Niko na uvumilivu mwingi.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Machozi hunitoka machoni saa zingine
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Watu huniambia "Wewe ni mwanamke/mwanamume wa umri wa kati"
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Mara mingi mimi hukasirika
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Napenda kuwa na rafiki walio umri wa juu kuniliko.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sipendi Kuamka asubuhi sana.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Najali sana kuhusu nguo ninazo vaa na nywele zangu.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Mimi hujiambia "Twende kazi" kila ninapoamka asubuhi.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nafahamu kuwa "All reality is a phantom, and all phantoms are real"
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Mimi hutenda bila kufikiria.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Usingizi hunitoka kabla ya safari refu.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sijui ni nini cha kisasa kwa wale wenye umri mdogo kuniliko.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nina ndoto zangu.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nimepitia mateso mengi sana katika maisha yangu.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Saa zingine mimi huaribu ;chakula, pesa na kupoteza wakati,
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Naweza kuchapa mende na kitabu.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sitaki kuishi pekee yangu
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nataka kuzeeka.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Saa zingine, mimi hupenda kucheka wenzangu.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Niko na afadhali nikae nyumbani kuliko kuenda safari.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sipendi kusoma vitabu.
Ukweli
Uongo
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nina mipango yangu ya miaka ya baadaye.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Saa zingine mimi husikia kuimba
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Ni afadhali niishi mashambani kuliko kwenye jiji kubwa
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Mimi hudanganywa kwa urahisi na wengine.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Nina hisia nyingi sana.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Mimi huwa na raha ninapofuata mpangilio wangu pekee.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Sitawahi pitisha tarehe ya mwisho ya kupeana kazi.
Ndio
La
Hakuna hata mmoja hapo juu
Jinsia langu
Mwanamume
Mwanamke
Hakuna hata mmoja hapo juu