Wazo kuwa majukumu baina ya pande mbili za ubongo sio wazo ambalo limesemwa tu hivi hivi. Linapewa msisitizo na daktari Muamerika wa saikolojia ya ubongo, Roger Sperry, ambaye aliweza kutuzwa Nobel Peace Prize mwaka wa 1981 kwa kazi yake hiyo ya kuchunguza upande mbili za bongo. Je, unataka kujua ni upande mgani wa bongo yako unaotumika sana na kwa kiasi gani? Fanya jaribio hili ndio upate majibu ya ukweli zaidi.
Moja ya maswali haya ni ya kusikizwa, tafadhali kuwa na spika yako tayari.
Ni nini unachokipa kipaumbele ukitizama picha iliyo chini?
Mtu akikuuliza njia atakayo tumia kutoka kwenye nyota nyekundu hadi kuliko na doti ya manjano utamwelezaje??
Sikiza redio mbili zilizoko hapo chini. Ni gani uipendayo zaidi?
Ikiwa ulikua ueleze sehemu na uhusiano wa matunda hizi mbili utasema:
Ni chaguo gani wadhani ni sawa?: