Tumechukua miezi mingi tukifanya utafiti na kutayarisha jaribio hili kwa sababu yako.. Itakupa matokeo ya kijumla kuhusu kipimo chako cha akili, uwezo wako wa utazamaji, uwezo wako wa kuhesabu na mantiki.
Hili ni jariribio la kwanza litakalo kupa mtizamo wa kina kuhusu uerevu wako.
Ni ipi kati ya saa hizi ambayo haiko sawa?
Ni umbo gani linalokosekana?
Ni umbo gani linalokosekana?
Ni umbo gani linalokosekana?
Ni dot gani iliyoungana na dot A?
Ni nambari gani iliyokosekana?
65 | 69 | 13 |
14 | 63 | 22 |
18 | ? | 17 |
Ni njia gani refu zaidi: X hadi A, X hadi B, ama X hadi C?
Ni nyororo gani isiyo sawa?
Ni nambari gani inayofaa kuwa X?
Ni umbo gani iliyo na pembetatu zaidi?
Ni gani inayotoshea kwenye sehemu iliyokosekana?
Ni nambari gani inayofaa kuwa X?
Ni gani inayowakilisha kete uliyopewa??
Sanduku ya bluu ina kilo 3, sanduku nyeupe ina kilo 2. Ni gani kati ya hizi isiyosawa?