Jaribio la Ubongo, Kushoto au Kulia?
Wazo kuwa majukumu baina ya pande mbili za ubongo sio wazo ambalo limesemwa tu hivi hivi. Linapewa msisitizo na daktari Muamerika wa saikolojia ya ubongo, Roger Sperry, ambaye aliweza kutuzwa Nobel Peace Prize mwaka wa 1981 kwa kazi yake hiyo ya kuchunguza upande mbili za bongo. Je, unataka kujua ni upande mgani wa bongo yako unaotumika sana na kwa kiasi gani? Fanya jaribio hili ndio upate majibu ya ukweli zaidi.
Moja ya maswali haya ni ya kusikizwa, tafadhali kuwa na spika yako tayari.
- Imetengezwa kutumika kwa urahisi na simu za rununu
- Picha zilizotumika kwenye jaribio hili zinatumia graphics ya SVG vector, inayoweza kutumika kwa virahisi na simu zote za rununu na padi.
- Ni somo gani uzipendazo?Hesabu pamoja na masomo sawia.Mziki au sanaa
- Unaposikia nyimbo mpya, huwa:Naangalia maneno ya mziki kwanza.Nasikiza dansi na melodi kwanza.
Ni nini unachokipa kipaumbele ukitizama picha iliyo chini?
NambariSura yake- Unapokutana na mtu, sanasana huwa:Nafika mapema.Nawasili wakati uliojadiliana ama baadaye kidogo
- Unaposoma kitabu au makala yoyote, huwa:Naipa kipaumbele kila neno nisomaloNiko radhi nikipitie kwa upesi na nisome tu sehemu zinazonifurahisha.
- Ukiambiwa upike (na unao uzoefu wa kupika), uko radhi:Ufuate recipe.Upike bila kufuata recipe na ujaribu njia mpya ya upishi..
Mtu akikuuliza njia atakayo tumia kutoka kwenye nyota nyekundu hadi kuliko na doti ya manjano utamwelezaje??
Tembea mbele mita 100,ukifika makutano, fuata njia ya kulia na utembee mita 50 utakua umefikaTembea mbele hadi uione jumba A, nenda kulia ufikapo kwenye mkutano, tembea hadi ufikapo kwenye jumba B halafu ukivuka barabara utakua umefika..- Unapotizama sinema, unakipa kipaumbele:HadithiUigizaji.
- Unafikiri ni ni kivutiacho zaidi kuhusu mfanyabiashara aliyefanikiwa na husaidia wasiofanikiwa:Ustadi wake wa kufanya biasharaBidii yake ya kusaidia wasiojiweza.
- Unapofanya hesabu, halafu upate swali moja ulilolifanya hapo awali na ukapatabmajibu yake. Ukiwa na wakati wa kutosha wa kufanya hesabu hiyo, uta:Jibu swali hilo ukitumia njia uliyotumia hapo awaliJaribu kutatua swali hilo kwa kutumia njia tofauti
- Unapotatua hesabu; una ustadi wa:Swali rahisi za kuongeza na kuondoaSwali zinazohusu viumbe
- Tafadhali funga jicho moja na utizame mbele kwa sekunde tatu kabla hujachagua jibu moja.Nilifunga jicho la kuliaNilifunga jicho la kushoto
- Ni gani uipendayo kati ya diagramu hizi mbili?AB
Sikiza redio mbili zilizoko hapo chini. Ni gani uipendayo zaidi?
Ya kwanzaYa pili- Uko radhi uende kwenye jopo la wataaluma kujadiliana ama kwenye maonyesho ya sanaaJopo la wataalumamaonyesho ya sanaa
- Ni riwaya gani unazopenda kusoma?Riwaya kama Sherlock HolmesRiwaya kama Harry Potter
Ikiwa ulikua ueleze sehemu na uhusiano wa matunda hizi mbili utasema:
Utaeleza: "Mbilingani iko juu upande wa kushoto na watermelon iko sehemu ya chini kulia na zinatazamana""Utaeleza kwa kutumia mikono- Chumba chako huwa:Nadhifu. Huwa napenda vitu vyangu vikiwa na mpangilio..Hauna mpangilio halisi, bora niwe sawa.
Ni chaguo gani wadhani ni sawa?:
RedRedBlue- Ukipata nafasi ya kujifunza jambo jipya utachagua gani?Lugha mpya.Sanaa mpya kama kuchora au kudensi.
- Kuhusu usimamizi wa saa, ni chaguo gani linalo ambatana nawe zaidi?Ninao mpangilio mzuri wa masaa yangu, napenda kutumia masaa vizuri.Sna mpangilio asili wa masaa zangu,napenda kuwa huru sana.
- Ni chaguo gani linalofanana na umbo lililo hapa chini??
- Tumia kidole chapo kuandika C kwenye utosi wako. C yangu:Ina pembe zake mbili zikitazama upande wa jicho la kulia.Ina pembe zake mbili zikitazama upande wa jicho la kushoto.
- Ni picha gani unayoipenda?12
- Ni picha gani unayoipenda?12
- Unapogombana na mtu, ni njia gani wewe hutumia kumshawishi mwenzako kuwa uko sahihi?Kupeana mifano halisikumsikiza kwa makini ili utambue dosari zake na kuzitumia kwa faida ya kushinda.
- Ni nini hutambulisha nguo zako?mimi hupendelea nguo za kawaida na zisizo zenye rangi tofauti sana.Mimi hupendelea style tofauti na rangi tofauti tofauti.
- Kama ungefanikiwa katika taaluma zilizo chini, ungependelea gani zaidi?Falaki mwenye ari ya kugundua siri za nyota..Mwandishi wa riwaya kuhusu shujaa anayeokoa utu kutoka siku ya kiama.
- Ukisafiri na marafiki, ni mambo gani wewe hupenda kuongea kuhusu munapo kaa pamoja usiku?Yale yaliyotendeka siku hiyo au jambo muhimu ulilioona.Hadithi za mazimwi.
- Kama ungekua na uwezo wa kujipatia zawadi uliostahili ulipokua na miaka 5 , 0ungejipatia:Action figure ama stuffed toyLegos ama puzzles
- JinsiamkeMume