Jaribio la Kipimo Cha Akili (2016 Version)
2016 Version
Tumechukua miezi mingi tukifanya utafiti na kutayarisha jaribio hili kwa sababu yako.. Itakupa matokeo ya kijumla kuhusu kipimo chako cha akili, uwezo wako wa utazamaji, uwezo wako wa kuhesabu na mantiki.
Hili ni jariribio la kwanza litakalo kupa mtizamo wa kina kuhusu uerevu wako.
- Imetengenezwa kutumika kwa urahisi kwenye simu ya rununu na tableti
- Sambaza uwezo wako kwa urahisi na rafiki zako.
Ni ipi kati ya saa hizi ambayo haiko sawa?
ABCDNi umbo gani linalokosekana?
ABCD- 151、242、333、424... Nambari ifuatayo ni?555515565646
Ni umbo gani linalokosekana?
ABCDNi umbo gani linalokosekana?
ABCD- 1、7、21、27、81 - Ni gani ifuatayo?828887243
Ni dot gani iliyoungana na dot A?
WXYZ- Wastani wa nambari tatu ni 26. Wastani wa nambari mbili ni 32. Nambari ya tatu ni gani?14326416
Ni nambari gani iliyokosekana?
65 69 13 14 63 22 18 ? 17 78859851Ni njia gani refu zaidi: X hadi A, X hadi B, ama X hadi C?
ABC- Ni neno gani lisilofaa?UpepoMauaMvuaRadiTheluji
- Kama inachukua siku 8 kazi kumalizwa na watu 5. Ni siku ngapi itawachukua watu 2 kuimaliza kazi hiyo?15182023
- Bustani imeuza mapera 72, ambayo ni 12% ya idadi ya mapera walizotenga yauzwe. Je, ni mapera mangapi yaliyotengwa yauzwe?600800900500
Ni nyororo gani isiyo sawa?
ABCDNi nambari gani inayofaa kuwa X?
40414243Ni umbo gani iliyo na pembetatu zaidi?
ABCDNi gani inayotoshea kwenye sehemu iliyokosekana?
ABCDNi nambari gani inayofaa kuwa X?
12321514Ni gani inayowakilisha kete uliyopewa??
ABCDSanduku ya bluu ina kilo 3, sanduku nyeupe ina kilo 2. Ni gani kati ya hizi isiyosawa?
ABCD